rungu nyama
Member
- Apr 15, 2020
- 17
- 14
Movie nyento kwa Sana maana hata watoto wa watu hawaruhusiwi kutoka ovyo na nyungu kwa wingiMamboo zenyu?
Hivi kwa sasa hivi mkiwa nyumbani tofauti ya kuangalia movie munafanya nini?
Kwa upande wangu napenda kulala
Very nice huogopi kutoka njee
Kwani una corona?Najaribu kuimarisha afya yangu kwa kupata vinywaji vya moto,kujifukiza n.k
Kujihami ni muhimu mkuu....huu ni mwaka wa kupambana na uhai tuKwani una corona?
Mamboo zenyu?
Hivi kwa sasa hivi mkiwa nyumbani tofauti ya kuangalia movie munafanya nini?
Kwa upande wangu napenda kulala
Ushauri mzuri sana,huu muda ukitumika vizuri kuna kitu kipya unapata..binafsi Youtube amekua mwalimu mzuri sana.You can take online classes...learn new stuff
Hii mambo ikiisha unakuwa mtu mwenye ako na ujuzi mpya
Mimi napika maandazi , biscuti na mambo mengine kupitia You tube but nilikuwa na jua tu kupikaYou can take online classes...learn new stuff
Hii mambo ikiisha unakuwa mtu mwenye ako na ujuzi mpya
Oh😳
Usihangaike sanaKujihami ni muhimu mkuu....huu ni mwaka wa kupambana na uhai tu
Kwa nini mkuu?Usihangaike sana
Haujui saa ya roho kuicha mwili unakuta umelala tu au unedondoka halafu hujui nini kitakuchukua roho.Kwa nini mkuu?
Kweli mkuuHaujui saa ya roho kuicha mwili unakuta umelala tu au unedondoka halafu hujui nini kitakuchukua roho.
Mungu ndio anajua
Fanya hivi fuata maelekezo basi tofauti na hapo Muachie Mungu.Kweli mkuu
Lakini movement zako zikoje?Fanya hivi fuata maelekezo basi tofauti na hapo Muachie Mungu.
Mimi na wash water kwenye bag na hand sanitizer kwa bag na kitambaa kisafi na barakoa mbili au tatu au nne.
Siongei ovyo ovyo.
Natoka asubuhi ijioni narudi kwa maana Arusha saa tatu hakuna watu wengi ilajioni wanaanza rudi makwao.Lakini movement zako zikoje?