Maisha ya Karantini

MysweetL

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
314
Reaction score
340
Mamboo zenyu?

Hivi kwa sasa hivi mkiwa nyumbani tofauti ya kuangalia movie munafanya nini?

Kwa upande wangu napenda kulala
 
Niko boward mbaya, kila wimbo nao play naona mbaya, series zote hazipand leo
 
huwa naangalia X kuna kijana anajiita el nino anamreplace vizuri john sins
 
Nasoma biblia..

Naingia Intelligence Forum kusoma simuliz za kusisimua

Naingia Love konnect kuona watafuta wake/waume

Jion naenda Gym / Jogin

Usiku naenda zangu Flammingo ya Mbuyuni salasala kunywa K Vant Ndogo..

Narud zangu home
 
kwa hiyo usiku korona inakuwa imechoka halafu ww ndo unatoka
 
Nasoma biblia..

Naingia Intelligence Forum kusoma simuliz za kusisimua

Naingia Love konnect kuona watafuta wake/waume

Jion naenda Gym / Jogin

Usiku naenda zangu Flammingo ya Mbuyuni salasala kunywa K Vant Ndogo..

Narud zangu home
Very nice huogopi kutoka njee
 
Asubuh nafanya usafi nakuywa chai

Baada, nacheki movie nasikiliza nyimbo au kusoma vitabu(soft copy)
Pia huwa naingia kwny social network

Nangojea kula
Hvo ndo ratba ilivo

Nilipokuwa secondary nilifundishwa kuchoka nikubadili kazi
 
Mungu tu asimame mwenyewe nisijeingia huko, home ata pawe na kitu cha maana namna gani sijawahi kupainjoy mchana,fikiria tu Nina zaidi ya miaka 18 sijawahi kushinda nyumbani nikiwa mzima wa afya..

Ila nikiendaga jioni naona nipo sehemu salama na sahihi kabisa ila nikichelewa sana kuamka asubuhi nisivuke saa 3 aisee,nikipitiwa hua naumia sana raha yangu siku zote ni kulishuhudia jua linavyochomoza kwa macho yangu huku nikiwa Sina nilichosahau nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karantini ni nzuri kwa wale ambao hawapangii.
Uganda ni wapepunguziwa adhabu ya kulipa kodi japo miezi mitatu raha zao jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…