Maisha matamu sana pale.....

Tanzania majimaji ya songea

england arsenal

spain levante

ureno academica

italy sasuolo

siasa chadema

msosi utumbo wa kuku

mziki hip hop ya tamaduni

device nokia six botton

kinywaji juisi ya mtumba

niniliu maradona

soda fanta

jukwaa la siasa

nisipokufa kwa presha mungu ndio anajua
 
Maisha ni matamu pale:
Unapokuwa na watoto wazuri kama[MENTION] janeth1 [/MENTION]na[MENTION] romantic eyes[/MENTION]
Unapokuwa na mume mwema kama Ntuzu



Thx hny! Luv u my swty!
 
Last edited by a moderator:
Weeehhh Hivyo vyoote nitoe niweke kwa ndizi nyama, Na Jukwa JF jokes, Photos bass.....Chelsea no no no no no ntake radhi


 
Weeehhh Hivyo vyoote nitoe niweke kwa ndizi nyama, Na Jukwa JF jokes, Photos bass.....Chelsea no no no no no ntake radhi

Sasa kama Chelsea hupendi utapenda nini
 

Ha ha ha nimechekaje
 

Maisha matamu sana pale
1.Mungu anapokuwa kiongozi wa maisha yangu.

2 shansarie anapokuwa mke wangu!! only that...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…