VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,481 Reaction score 1,450 Jul 13, 2025 #1 Ikiwa kwa jirani wana maisha haya, na wewe unayewaangalia unachekelea, kesho keshokutwa, itakuwaje ikifika zamu yako? Matukio mengine ya kukemea. Mtu anahangaika na kula tuuuu, wenye hela wanahangaika kumtoa uhai. Hawa kina mama walikosea nini hasa!
Ikiwa kwa jirani wana maisha haya, na wewe unayewaangalia unachekelea, kesho keshokutwa, itakuwaje ikifika zamu yako? Matukio mengine ya kukemea. Mtu anahangaika na kula tuuuu, wenye hela wanahangaika kumtoa uhai. Hawa kina mama walikosea nini hasa!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,116 Reaction score 1,249,272 Jul 13, 2025 #2 Hatari sana