Maisha haya!!!

Usione watu hapa mjini wana pesa ukajua za halali, ukifatilia utajiri wao utakimbia mwenyewe
Yaani mkuu,umesema kweli muhimu ni kuridhika na kile ambacho Mungu anakujalia na kufanya kazi kwa juhudi na maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…