Ndio,maisha bila ya kuwa na watu wanaokutegemea si kitu na hakuna sababu ya kujisumbua kwa kutafuta saaaaaaaana.
Ngoja nifafanue,wewe ni mwanaume/Mwanamke una kazi/biashara/shughuli ya kuingiza kipato na una miaka zaidi ya 30 viungo vyako viko kamili kiafya na kiakili, kwa nini USIOE/KUOLEWA AU KUISHI NA MWENZA WAKO .....??
Wakuu maisha ya sasa ni mafupi mno,na kufa bila kuwa na warithi ni kupoteza kumbukumbu yako.
Wakuu nyinyi mnalionaje hilo...??
Kwa mukhtaza huo ni sahihi kabisa.Maisha sio mafupi kama wengi wanavyosema, maisha ni marefu sana tu. Ukitaka kujua maisha ni marefu kosea step kwenye maisha utaona wiki moja kama mwezi mzima hivi.
Mengine yako sawa tu kwa umri huo kuwa na familia au watoto ni jambo la heri
Ni sawa kabisa Mkuu, mi nadhani WAKUBWA hao, tayari yamesha WAPIGA...!Hata kujitegemea tu inatosha no stress
Ni kweli mkuu afu kuna watu wana nyota za ajabu yaan akiwa anakutegemea ww utapata pesa sana hadi utashidwa kujua zinakujaje ila wakiacha kukutegemea mambo yanakuwa kawaida tu ndivyo ilivyo mkuu.Ndio, maisha bila ya kuwa na watu wanaokutegemea si kitu na hakuna sababu ya kujisumbua kwa kutafuta sana.
Ngoja nifafanue, wewe ni mwanaume/mwanamke una kazi/biashara/shughuli ya kuingiza kipato na una miaka zaidi ya 30 viungo vyako viko kamili kiafya na kiakili, kwanini usioe/kuolewa au kuishi na mwenza wako?
Wakuu maisha ya sasa ni mafupi mno na kufa bila kuwa na warithi ni kupoteza kumbukumbu yako.
Wakuu nyinyi mnalionaje hilo?