Maisha bila simu

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
Yaani nimeamka hapa,kuna kitu nilikuwa nina shida nacho sana na kwa wakati,lakini nimefanya call moja tu,nasubiri delivery hapa...nishasahau tabu zote za miaka ya nyuma,kuna anayekumbuka adha au hasara aliyoipata kipindi hakuna simu?
 
Unajishangaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…