Maisha baada ya kuachwa

Doooh bora umesahau..story yako haitofautian sana na yangu..kwa upande mwngne umenipa courage ya ku move on bila kurudi kurudi maana huwa najionaga cwez kabisaa....jf imenisaidia sana kupata relief ya mambo yangu meng..
Unamaanisha relief mimi??
 
Mimi nakushauri tu ukitaka uwe vizuri kabisa usijaribu kwa mazingira yoyote kuingia kwenye mahusiano walau ata mwaka ili uhimarike vzr, pia huwez jua unaweza ingia kwenye mahusiano sio sahihi tena ukawa na mfululizo mbaya wa maumivu, ukiweza kua imara wewe mwenyewe hutakaa utetereshwe na mtu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…