Meridah Tough
Senior Member
- Nov 27, 2017
- 136
- 365
- Thread starter
-
- #61
Hapana simtaki na simuhitaji. Najua maisha niliyopitia jinsi nilivyojisikia aliponijibu hovyo hata nikimwambia kitu kwa manufaa yake ila nina hofu nisije rudi nyuma kipindi hicho na ndio maana nauliza kinadumu kwa muda gani ili nijiandae
Mimi hata sijui inategemea ntu na ntuSó kipindi cha kumiss kinaweza kikadumu muda gani?
Hahaa basi hongera kwa kufanikiwa kujitoa kwenye mahusiano yasiyo na futureHaha hata usinipe pole maana nilitengeneza mwenyewe mazingira ya kuachwa... Niliona mahusiano hayawezi kuenda popote kupotezeana muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha daah inachoma kama pasi, pole mremboMimi mpaka anaoa ndo nikaamini kweli nimeachwa. Tangu2016 mpaka leo sitamani mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha asante japo naumia ila nitaponaHahaa basi hongera kwa kufanikiwa kujitoa kwenye mahusiano yasiyo na future
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh aiseee, pole sana bidadaMimi mpaka anaoa ndo nikaamini kweli nimeachwa. Tangu2016 mpaka leo sitamani mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naona umenikosea adabu pakubwa sana wallah...Hahaaaa dada kua makini huyu ni mjaza machozi si km anavyojiitaaa, Ushimen ww wanakufaa wale wenye roho ngumu km miss natafuta na yule ajuza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe, kwahiyo ndio umeamua kuntangaza eehhh....!!??Mtoa mada umesema zimeisha wiki mbili? Bado, kitakuja kipindi cha kummisi huyo fala utakuwa unatamani umpigie ila ukipita hapo umeshavuka. Am going through the same shit right now
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe, ya kwetu ndio kwanza yamekolea nilikuwa namzungumzia jirani yanguBabe, kwahiyo ndio umeamua kuntangaza eehhh....!!??
Basi sawa...Babe, ya kwetu ndio kwanza yamekolea nilikuwa namzungumzia jirani yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
We dogo mbona unamambo ya kipuuzi sana??Kwahiyo dada unataka tukusaidie nini?