Nina mashaka naww, tayari unaelekea kuuvunja uhusiano wako nonesensely! Ukiona mtu amefikia hatua ya kuomba ushauri mambo minors sana kama age, color, tribe au dini ujue hana mapenzi hakika na mwenziwe. Very sad, jiamini bhana.
Learn to believe in yourself. nani kakwambia golikipa lazima jezi yake iwe namba 1? majukum na jezi ni vitu viwili tofauti...