Mahusiano siyo mtihani kwamba ufaulu au ufeli, na siyo mashindano eti ushinde au upoteze, Lakini ni hisia ambazo ndani yake unamjali mtu mwingine zaidi ya unavyojijali wewe.
#ManMiddo