Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,710 Reaction score 63,393 May 19, 2025 #1 Unatembea barabarani wewe na mpenzi wako, mara ghafla jicho lako linaingiliwa na mdudu na kukusababishia kuwa na upofu wa kutokuona tena katika maisha yako. Je, mpenzi uliyenaye atakuvumilia wewe na huo upofu wako siku zote za maisha yako? Kama ni ndio au hapana toa sababu.
Unatembea barabarani wewe na mpenzi wako, mara ghafla jicho lako linaingiliwa na mdudu na kukusababishia kuwa na upofu wa kutokuona tena katika maisha yako. Je, mpenzi uliyenaye atakuvumilia wewe na huo upofu wako siku zote za maisha yako? Kama ni ndio au hapana toa sababu.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,121 Reaction score 114,157 May 19, 2025 #2 Nitajuaje bila ya kutokea hivyo? Huu ni mfano kichaa
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,947 Reaction score 168,781 May 19, 2025 #3 Mapenzi yafutwe
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,460 Reaction score 111,947 May 19, 2025 #4 Naomba comments ziwe fupifupi ili tuokoe muda wakuu...🙂
Latent chaos JF-Expert Member Joined Jul 15, 2024 Posts 1,501 Reaction score 3,101 May 19, 2025 #5 Kwani hili suala linahitaji uvumilivu ?
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,561 Reaction score 22,876 May 19, 2025 #6 Mdudu wa mama, mama anaupiga mwingi.
M Mamy K JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 3,169 Reaction score 11,172 May 19, 2025 #7 Ukiwa na ujauzito tu mtu anajizima data, ndo iwe ugonjwa wa kudumu...🤣🤣🤣