hahaha, mkuu mwiba hapo ndo umekoroga kabisa, yaani umefananisha utamu wa sukari na asali, ssa mke asipokuwa mpenzi wako anakuwa nani tena, au ndo huwa mnajifaragua kuwaita binti masudi sijui mama hepi, kwa siye tulioona mwanga kidogo ni wapenzi tu, hebu chunguza chunguza mahsuiano ambayo mke ni rafiki na mpenzi, utaona yana afya bila mgogoro; eeh..π