facepozz marketplace
Member
- Apr 29, 2018
- 31
- 9
Huku Moro mahindi mpaka elfu 25 kwa 100kg unapata. Nipeni kazi ya kuwakusanyia mzigo
HABARI WANAJAMII FORUM
Nipende kuwajulisha kuwa tunasambaza mahindi kwa ya unga TANZANIA
MAWAKALA WETU
DAR - ES-SALAAM
MWANZA
ARUSHA
SONGWE
Bei 55000 /=@100kg Sawa na gunia
USAFIRI - BURE KWA GARI, UKIWA NA USAFIRI WAKO INAPUNGUA ZAIDI
KWA BIDHAA ZAIDI TEMBELEA WWW FACEPOZZ. COM
WASILIANA NASI
+225767169016. MTEJA KWETU NI MFALME ASANTE
moja hatusafirishi, pole sana kukosa huduma yetu karibu tenaNiletee gunia moja Kigoma
moja hatusafirishi, pole sana kukosa huduma yetu karibu tena
Unaweza ukasafirisha kwa basi mkuu?Huku Moro mahindi mpaka elfu 25 kwa 100kg unapata. Nipeni kazi ya kuwakusanyia mzigo
kwa basi ngumu siku hizi mabasi yanakaguliwa wakikuta mizigo ya namna hiyo wanawapiga fine labda uwe mzigo mdogo wa kilo 50 hiviUnaweza ukasafirisha kwa basi mkuu?
Ukiweka mizigo miwili ya kg 50 each vp ?kwa basi ngumu siku hizi mabasi yanakaguliwa wakikuta mizigo ya namna hiyo wanawapiga fine labda uwe mzigo mdogo wa kilo 50 hivi
Vipi mpunga upo huko ni kias gan??Huku Moro mahindi mpaka elfu 25 kwa 100kg unapata. Nipeni kazi ya kuwakusanyia mzigo