du mkuu upo? long time no c???Mke na mme wamenasana jana wakifanya mapenzi guest house mjini Tunduma jana saa 8 mchana. Mahawahara hao kila mmoja ana ndoa yake juhudi zilifanyika kuwakimbiza hospt Mbozi mpaka sasa bado wameng'ang'aniana wenzetu wamassai wanasema imemesa mwenzie. Haijaeleweka nani aliyetega sumaku hiyo.Naendelea kufuatilia kila hatua nitawajuza.
Ukiona ni ndugu yako utajisikiaje
Mkuu fanya harakati upate contacts za mweza wa huyo aliyemtega mwenzake ili nasisi tumtafute huyo mganga atuzindikia na nimtafutie dili maana huku wake za watu navyowaona wanavyofanya ni soooo!!
Mke na mme wamenasana jana wakifanya mapenzi guest house mjini Tunduma jana saa 8 mchana. Mahawahara hao kila mmoja ana ndoa yake
Shem mke ana mme wake wa ndoa na mme nae ana mke wake wa ndoa ndo mahawara hao tafsiri yake.