Judges are attending the seminar at Lushoto Judicial Institute on how to manage the intended caseHizi mbwembwe mbona zimepungua, tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.
Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.
CC. Lizaboni & co.
Awamu hii tutarajie vituko zaidi, Jana ameomba viwanda vya bajaji na pikipiki kesho ataomba viwanda vya ndala.Hizi mbwembwe mbona zimepungua, tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.
Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.
CC. Lizaboni & co.
Lumumba vipi hakuna shughuli huko za maana ?!Tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.
Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.
CC. Lizaboni & co.
Kwanza nikupongeze kwa kukumbuka hilo jambo maana watu wengi tupo kwenye kuhangaikia kupata huduma za kimaisha kama mafuta ya taa,sukari petrol nkTuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.
Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.
CC. Lizaboni & co.
Leo hii nimemuona rais uhuru kenyatta akimwaga kimombo tangu mwanzo hadi mwisho huku wakisaini mkataba wa kupatiwa msaada wa dola milioni 45Awamu hii tutarajie vituko zaidi, Jana ameomba viwanda vya bajaji na pikipiki kesho ataomba viwanda vya ndala.
Kwani lizaboni kubadili ID na itikadi siku hizi?Lizaboni Sheria ya makosa ya mtandao inafanya Kazi acha kashfa zako mkuu
Vijana wa mwendo kasiHaraka ya nini? Lowassa atapandishwa tu kwa ufisadi alioufanya wa 10% katika ujenzi wa barabara ya Samnujoma (Mwenge-Ubungo).
Inasemekana hata Kilwa Road nako alihusika .Haraka ya nini? Lowassa atapandishwa tu kwa ufisadi alioufanya wa 10% katika ujenzi wa barabara ya Samnujoma (Mwenge-Ubungo).
Awamu hii tutarajie vituko zaidi, Jana ameomba viwanda vya bajaji na pikipiki kesho ataomba viwanda vya ndala.
Najua wamekutuma kujua hatua tuliyofikia. Kifupi mission inakwenda vizuri kama ilivyopangwa soon jamaa zako wataanza kunyea ndo, jiandae kuwadhamini.Tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.
Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.
CC. Lizaboni & co.
Elewa kijana, hii division ni maalum kwa ku deal na hao jamaa zako tuHakuna mahakama ya mafisadi zaidi ya figisufigisu tu za lumumba, tujiulize hizi mahakama tulizonazo haziwezi kushugulikia mabadhilifu wa mali za umma! Kama zinauwezo kwanini zishindwe,... Tatizo la nchi hii chini ya ccm hao hao wanaojinadi kutengeneza mahakama maruumu ndyo hao watuhumiwa,.... Mahakama zipo kama mnauwezo huo wapelekeni wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi
Kwan PhD yake alifanya kwa lugha ganiLeo hii nimemuona rais uhuru kenyatta akimwaga kimombo tangu mwanzo hadi mwisho huku wakisaini mkataba wa kupatiwa msaada wa dola milioni 45