Mahakama ya mafisadi imefikia wapi?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,816
49,005
Tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.

Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.

CC. Lizaboni & co.
 
Hizi mbwembwe mbona zimepungua, tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.

Judges are attending the seminar at Lushoto Judicial Institute on how to manage the intended case
 
Hizi mbwembwe mbona zimepungua, tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.

Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.

CC. Lizaboni & co.
Awamu hii tutarajie vituko zaidi, Jana ameomba viwanda vya bajaji na pikipiki kesho ataomba viwanda vya ndala.
 
Tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.

Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.

CC. Lizaboni & co.
Lumumba vipi hakuna shughuli huko za maana ?!
 
Tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.

Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.

CC. Lizaboni & co.
Kwanza nikupongeze kwa kukumbuka hilo jambo maana watu wengi tupo kwenye kuhangaikia kupata huduma za kimaisha kama mafuta ya taa,sukari petrol nk
 
Awamu hii tutarajie vituko zaidi, Jana ameomba viwanda vya bajaji na pikipiki kesho ataomba viwanda vya ndala.
Leo hii nimemuona rais uhuru kenyatta akimwaga kimombo tangu mwanzo hadi mwisho huku wakisaini mkataba wa kupatiwa msaada wa dola milioni 45
 
Haraka ya nini? Lowassa atapandishwa tu kwa ufisadi alioufanya wa 10% katika ujenzi wa barabara ya Samnujoma (Mwenge-Ubungo).
 
Hakuna mahakama ya mafisadi zaidi ya figisufigisu tu za lumumba, tujiulize hizi mahakama tulizonazo haziwezi kushugulikia mabadhilifu wa mali za umma! Kama zinauwezo kwanini zishindwe,... Tatizo la nchi hii chini ya ccm hao hao wanaojinadi kutengeneza mahakama maruumu ndyo hao watuhumiwa,.... Mahakama zipo kama mnauwezo huo wapelekeni wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi
 
Mimi nimeota fundi ndio anaenda kwa miguu site kupima ramani ya jengo la mahakama ya mafisadi soon itakua tayar ngoja na leo niote labda nitakuka mafundi wanapaua!!!!!!
 
Fisadi wa nyumba za serikali unamuona uchwara hivyo. Halafu na yeye apelekwe huko huko muda wake ukisha.
 
Tuliaminishwa na watu wa Lumumba kuwa ifikapo julai 1 Lowassa atakuwa ndani, lakini leo karibu wiki ya pili sasa hatuoni dalili wala kusikia updates zozote.

Mwenye info zozote za hii mahakama atujuze, hadi sasa ni mafisadi mangapi yameshapandishwa kizimbani, kama kuna mtu anataka kutuchelewesha atumbuliwe mapema basi la mwendokasi lipite.

CC. Lizaboni & co.
Najua wamekutuma kujua hatua tuliyofikia. Kifupi mission inakwenda vizuri kama ilivyopangwa soon jamaa zako wataanza kunyea ndo, jiandae kuwadhamini.
JPJM anachosema anamaanisha.
 
Hakuna mahakama ya mafisadi zaidi ya figisufigisu tu za lumumba, tujiulize hizi mahakama tulizonazo haziwezi kushugulikia mabadhilifu wa mali za umma! Kama zinauwezo kwanini zishindwe,... Tatizo la nchi hii chini ya ccm hao hao wanaojinadi kutengeneza mahakama maruumu ndyo hao watuhumiwa,.... Mahakama zipo kama mnauwezo huo wapelekeni wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi
Elewa kijana, hii division ni maalum kwa ku deal na hao jamaa zako tu
 
Back
Top Bottom