S Shabani Ajaha Member Joined Aug 18, 2021 Posts 78 Reaction score 60 May 28, 2022 #1 UVCCM_ TAIFA MEI 28, 2022 JAMBO LIPO MOROGORO Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Ndugu. KENANI KIHONGOSI atakuwa Mgeni rasmi katika MAHAFALI ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Morogoro. #AlipoMamaVijanaTupo #2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu #2022JiandaeKuhesabiwa #KaziIendelee
UVCCM_ TAIFA MEI 28, 2022 JAMBO LIPO MOROGORO Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Ndugu. KENANI KIHONGOSI atakuwa Mgeni rasmi katika MAHAFALI ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Morogoro. #AlipoMamaVijanaTupo #2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu #2022JiandaeKuhesabiwa #KaziIendelee
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,332 May 28, 2022 #2 Chama kinaandaa makada kuanzia ngazi ya vyuo....scouting nzuri sana, hongera Katibu
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,708 Reaction score 65,360 May 28, 2022 #3 Zile fedha za umma alizohongwa kupitia akaunti ya mkewe asharudisha? Mm sifuatilii wala kuhudhuria mahafali hiyo
Zile fedha za umma alizohongwa kupitia akaunti ya mkewe asharudisha? Mm sifuatilii wala kuhudhuria mahafali hiyo