Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Kote hakuna unafuu ila mazingira ya selo za polisi kidogo si mazuriWanajf, let me declare that sijawahi ingia humo kote kote, Mungu anisaidie sana nisiingie huko!
Mliowahi ingia huko Na wenye ufahamu Halisi ni wapi kuna unafuu wa kutuliza akili?
Kuna magereza maalumu kwa ajili ya mahabusu na mchanganyiko, mahabusu hafanyi kazi yoyote yeye ni mfalme mpaka mahakama itakavyoamua tofauti.Ninachokumbuka hapo ZAMANI kijijini kwetu kulikuwa askari mmoja alijurikana kwa jina la Magori akikamata watu wenye makosa madogo alikuwa anawapa adhabu kwenda kutafuta Kupe / papasi 10 Na kunguni 10 ili wawekwe humo mahabusu na mwisho wa adhabu yake.
Nasikia mahabusu ya magereza iko vizuri hakuna bughuza.
Soma hapo juu, yapo ya mahabusu peke yao na ni machache sana mengi ni mchanganyikoJe huko Magerezani wafungwa Na mahabusu hukaa Na kulala pamoja au kila kundi kivyao?
hahaha kila mwana damu ana huruma.Kwa FIKIRA zangu nadhani askari magereza wana roho ya huruma kuliko askari wa majeshi mengine.
Sio yoteNasikia kule kwenye magereza makubwa yenye watu wengi ndio hayana ustaarabu je ni sahihi?
Magereza wana silaha zao lakini kukiwa Na jambo lenye vurugu kwann waitwe wa Polisi FFU?
si kweli.
Magereza wana FFU yao inaitwa KM ipo kwenye magereza yenye idadi kubwa ya wafungwa na hata magereza mengine ikitokea vurugu huimaliza wao wenyewe ni moja ya mambo waliyojifunza kiwira.
Mimi si askari mkubwa ila nakaufahamu tu
Haroo mripokee hiri rimwizi rikarare Chooni .Moja ya kauli zenye kutia hofu kabisa ukifika polisi mbaya zaidi unapekuliwa huku unachezea na makofi ukilalamika unaambiwa wacha kuuriza makofi polisi.Usiombe ikawa ijumaa jioni loh Vibaka wamejaa mahabusu wengine wanamadonda yenye damu wananuka balaa ukiingia unakutana na wababe wa mahabusu wanaanza na kauli ya toka mlangoni unaziba hewa sasa nitoke mlangoni naingiaje Mara unapigwa Kofi la USO unavurugwa akili unaambiwa nenda chooni mbumbavu unatujazia mahabusu kwa vishauri vya kwa mjumbe.Hapo mahabusu unakutana na makundi ya vibaka ambao ni mahasimu Yaani kutoka mitaa miwili tofauti hapo ni ngumi makofi nje nje.Yaani acha kabisa habari ya mahabusu utakuta vidirisha vipo juu kweli kweli hewa ndogo.Nasema kila siku nikiwaona polisi Doria wanakuja upande wangu nabadili hadi njia maana kuna mwaka mpya mmoja ulinikuta mahabusu maana nilidakwa utafikiri panya road mpaka nafika mahabusu Niko nimechakaa.Safari nyingine kwenye maandamano ya siasa nilidakwa na wale jamaa wanavaaga vikofia vyekundu mbumbavu kabisa wale si binadamu kabisa mpaka Leo hili bega la kulia huwa naisi nimetwishwa nguzo ya umeme.Wanajf, let me declare that sijawahi ingia humo kote kote, Mungu anisaidie sana nisiingie huko!
Mliowahi ingia huko Na wenye ufahamu Halisi ni wapi kuna unafuu wa kutuliza akili?
Ninachokumbuka hapo ZAMANI kijijini kwetu kulikuwa askari mmoja alijurikana kwa jina la Magori akikamata watu wenye makosa madogo alikuwa anawapa adhabu kwenda kutafuta Kupe / papasi 10 Na kunguni 10 ili wawekwe humo mahabusu na mwisho wa adhabu yake.
Nasikia mahabusu ya magereza iko vizuri hakuna bughuza.
Je huko Magerezani wafungwa Na mahabusu hukaa Na kulala pamoja au kila kundi kivyao?
Kwa FIKIRA zangu nadhani askari magereza wana roho ya huruma kuliko askari wa majeshi mengine.
Nasikia kule kwenye magereza makubwa yenye watu wengi ndio hayana ustaarabu je ni sahihi?
Magereza wana silaha zao lakini kukiwa Na jambo lenye vurugu kwann waitwe wa Polisi FFU?
Sijasema kozi za KM zinatolewa wapi na wapi mkuu, kila Askari lazima afundishwe namna ya kutuliza ghasia na hiki kinafanyikaga kwenye kozi za awali za maafisa wa magereza Kiwira.KM kozi yao hufanyikia ukonga na kule Mvuti.
Wanajf, let me declare that sijawahi ingia humo kote kote, Mungu anisaidie sana nisiingie huko!