Mahaba na ufanisi katika maenzi.

MTU KAZI

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
85
Reaction score
31
Noamba ni nukuu baadhi ya maneno kutoka kwa mwandishi nguli wa fasihi ya kiswahili bwana SHAABAN ROBERT "Ukimshika mahali,huruka kama mkizi. utajua kwa dalili,kama kaazimu kazi.kwa hali anavyocheza,na kinywan habakizi".Maneno haya utayapata kwenye shairi la MJAKAZI ktk kitabu cha MWAFRIKA AIMBA.Hivyo basi mahaba bora kumbe ni nguzo mhimu sana katika mapenzi.Hii ni kuwa na kauli na miguno za kimahaba wakati wa tendo, ujuzi wa kucheza na viungo vya mwili kama vile nyonga,mikono,matiti n.k,kuwa muazi pale unapo keleka.
 
Haswaa,muhimu hiyo mkuu,kweli jina lako lasadifu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…