Tafuta mtu wa kumlinganisha naye, siyo Obama.Magufuli ushawishi alionao huwezi kulinganisha na mgombea yeyote, yupo mbali sana, watanzania wanalitambua hilo hata kama wapinzani wake watazidi kulalamika.
Kama wewe mwenyewe umechoka hata 'title' ya 'thread' haieleweki, utatushawishi vipi kuiamini habari yako? Haya mambo kama mnaelekezwa mchambue kwanza mnayoambiwa kuleta, sio mnakuwa kama roboti!
Leo ukimuuliza hata mtoto mdogo nani katengeneza barabara atakwambia magufuri