Wao wana brookside na Jubilee.Wewe nadhani hujui mambo ya uchumi kabisa. Mtu anakopeshwa akiwa na assets. Hebu niambie Kenya ipo na assets zipi?
Ngoja nikupatie shule kidogo.
Kuna elimu kwenye issue za balance sheet kama Account inavyosema.
Kitu cha muhimu sana ni Assets.
Assets zimegawanyika katika makundi mawili.
Non-Current Assets na Current Assets
Non-Current Assets
Current Assets
- Investment and Fund
- Property, plant and Equipment
- Intangible Asset
Sasa unapokuja kuanza kuongelea maswala ya Bank (Reserve ya foreign currency)
- Cash
- Bank
- Stock
- Debtor
Tanzania ipo na $5.9billion wakati kenya ipo na $4.9Billion
Sitaki nikuchoshe sana nataka uniambie kwenye non-Current Assets ikitokea wale wanaowadaini wakataka muwalipe leo mtawapatia nini?
Sisi tupo na:-
1. we have reserve of Uranium
View attachment 727548
2. We have Coal
View attachment 727549
3. Gas Reserve
View attachment 727550
Hayo machache tu. Nakutaka sasa ueleze kuhusu kenya what do you have
Hahahaha wanashangaza sana hawa jamaa.Wao wana brookside na Jubilee.
Kwani unafikiri hajui hayo? Ni uzandiki na husda ndo vinamfanya kujidai kutoona unafuu wa masharti ya mkopo ambao kwangu mimi ni nadra kutokea kwa Afrika.Report za IMF na WB wameionya Tz isiendelee kutumia pesa zake za ndani ku finance big projects, wame shauli mikopo yenye masharti nafuu itumike. Ili uchumi uweze kukua kwa kasi zaidi.
Iko hivi kukopa siyo kitu kibaya kama huo mkopo utatumika vizuri kwenye maeneo yanayo changamsha uchumi. Mfano reli ya kati iki isha ma million ya litre za mafuta zita achwa kuingizwa nchini, Masaa mengi ya kukaa njiani yataokolewa kwa mizigo na watu, ongezeko la watu na mizigo kusafiri litatokea, Maelfu ya ajira yata jitokeza mashambani, viwandani na kwenye operations za rail na trains, ujenzi wake tu umeshazalisha ajira nyingi, achilia mbali fursa za kufungua biashara na mataifa jirani kama Rw,Brd, Congo na Ug. Sasa hayo yote ukiya weka in monetary value then ukaangalia impact yake kwenye GDP utakua ni mjinga kukataa kukopa tena mkopo wenye masharti nafuu.
Kuna pia countless Germstones, Aluminium, Helium, Titanium, Nickel, Nobium, Copper, mineral sand na Graphite.Wewe nadhani hujui mambo ya uchumi kabisa. Mtu anakopeshwa akiwa na assets. Hebu niambie Kenya ipo na assets zipi?
Ngoja nikupatie shule kidogo.
Kuna elimu kwenye issue za balance sheet kama Account inavyosema.
Kitu cha muhimu sana ni Assets.
Assets zimegawanyika katika makundi mawili.
Non-Current Assets na Current Assets
Non-Current Assets
Current Assets
- Investment and Fund
- Property, plant and Equipment
- Intangible Asset
Sasa unapokuja kuanza kuongelea maswala ya Bank (Reserve ya foreign currency)
- Cash
- Bank
- Stock
- Debtor
Tanzania ipo na $5.9billion wakati kenya ipo na $4.9Billion
Sitaki nikuchoshe sana nataka uniambie kwenye non-Current Assets ikitokea wale wanaowadaini wakataka muwalipe leo mtawapatia nini?
Sisi tupo na:-
1. we have reserve of Uranium
View attachment 727548
2. We have Coal
View attachment 727549
3. Gas Reserve
View attachment 727550
Hayo machache tu. Nakutaka sasa ueleze kuhusu kenya what do you have
We have more than enough resources to pay for all of our debt.Tz LDC is doomed to sink deeper into the sea of no return to normalcy as far as public debt is concerned.
Madeni uskope sana kama wewe maskini maana huna chochote cha kuuzwa ili yalipwe.
Huo uchumi sijawahi usikia tangu nizaliwe au hata kuumbwa kwa dunia.
Nijuavyo mimi usikope kama huna cha msingi cha kufanyia hizo fedha.
Ikiwemo KUKOPA ili KULIPA deni.
Yani sababu pekee ya kuendelea kukopa ni kwasababu tu bado tunakopesheka,
Nchi inaendelea kukopa mpaka pale tutakapokosa sifa ya kukopesheka.
Tunabebesha mizigo kwa vitukuu na vilembwe kwasababu tu bado tunakopesheka.
Unaweza ukawa na cha kufanyia, ukawa na mipango lakini pia lazima upumue kwa kiwango chako cha umaskini sio kujilimbikizia madeni ilmradi uonekane na wewe upo. Debt to GDP ya LDC haifai kupita hata 30%
Nenda usome upya kujua project zinazojengwa kwa hela ya ndani ni zipi na zinazojengwa kwa mkopo ni zipi halafu urudi hapa kubwabwajaPesa mlizokuwa nazo za kufinance projects zilienda wapi?
Tafuta nchi yako hapa nina uhakika haitakosa na haijawahi kosa....😵😵Nenda usome upya kujua project zinazojengwa kwa hela ya ndani ni zipi na zinazojengwa kwa mkopo ni zipi halafu urudi hapa kubwabwaja
Umesoma lakini nilichokwambia?