S slimdr Member Joined Aug 14, 2015 Posts 31 Reaction score 4 Nov 23, 2015 #1 Wadau naomba kujuzwa kama agizo la magufuli la kukataza safari za nje za watumishi wa umma kama pia linawahusu wabunge.
Wadau naomba kujuzwa kama agizo la magufuli la kukataza safari za nje za watumishi wa umma kama pia linawahusu wabunge.
Pelle mza JF-Expert Member Joined May 15, 2008 Posts 3,050 Reaction score 1,696 Nov 23, 2015 #2 Ndiyo hawaruhusiwi kuzomea zomea wala kutoka nje ya Bunge!
mtebetini JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,924 Reaction score 2,038 Nov 23, 2015 #3 Mkuu Mbona ofisi za Bunge Mhe Rais kazitaja kuwa safari za nje ni nyingi kuliko za kwenda vijijini kuwaona ................................ nawao wamepigwa BAN,katazo inahusu wote Mpaka wamuelewe kuwa. # SASA KAZI TUU #
Mkuu Mbona ofisi za Bunge Mhe Rais kazitaja kuwa safari za nje ni nyingi kuliko za kwenda vijijini kuwaona ................................ nawao wamepigwa BAN,katazo inahusu wote Mpaka wamuelewe kuwa. # SASA KAZI TUU #