magufuli na hapa kazi tuu!!
Kauli mbiu ya ccm (hapa kazi tu) na uchapaji kazi wa mgombea wake dr. J.p.magufuli inaonyesha dhamira ya dhati ya chama hicho katika kumkomboa mtanzania.ni dhahiri kwamba tutaijenga nchi yetu kwa sisi wote kuungana na kwa kila mtu kutekeleza wajibu wa kuwa sehemu ya maendeleo ya nchi hii,hatuwezi kuwa tunataka maslahi yetu ya watanzania ya afya bora,maisha bora na elimu nzuri lakini eti unadhani una mtu ambaye atakuja kukuletea maslahi hayo!watanzania tubadilike,tunahitajika kiongozi mchapakazi,kujituma na kufanya kazi ipasavyo!!
M4C sio mali ya CHADEMA. Kama unabisha nenda mahakamani la sivyo shut up....sasa anatumia M4C "magufuli for change". Kwaio andika upya uzi wako.
M4C sio mali ya CHADEMA. Kama unabisha nenda mahakamani la sivyo shut up.
Hivi unadhani M4C imebuniwa na CHADEMA? Mkapa hakukosea hata kidogo. Hiyo M4C mliyoiiba kwa wengine na kujifanya ni mali yenu sasa imekuwa kaa la moto. Muosha huoshwa. Maccm yameamua kuwavuruga na mnavurugika, tena kirahisi sana.Tatizo ccm eti akina January Makamba na Kibajaji ndo vichwa vyenu kwenye kufikiria. Kufikiria kote huko mkaishia kwenye M4C ambayo inatumika na wenzenu? Kwa upeo huu sidhani kama mna hata mbinu mpya za kuiletea Tanzania maendeleo.
Tatizo ccm eti akina January Makamba na Kibajaji ndo vichwa vyenu kwenye kufikiria. Kufikiria kote huko mkaishia kwenye M4C ambayo inatumika na wenzenu? Kwa upeo huu sidhani kama mna hata mbinu mpya za kuiletea Tanzania maendeleo.
Kwani nani anakulazimisha ufanye hivyo?huyo magufuli wenu hatumpi kura ng'o
MAGUFULI NA HAPA KAZI TUU!!
Kauli mbiu ya CCM (Hapa kazi tu) na Uchapaji kazi wa Mgombea wake Dr. J.P.Magufuli inaonyesha dhamira ya dhati ya chama hicho katika kumkomboa Mtanzania.Ni dhahiri kwamba tutaijenga nchi yetu kwa sisi wote kuungana na kwa kila mtu kutekeleza wajibu wa kuwa sehemu ya maendeleo ya nchi hii,hatuwezi kuwa tunataka maslahi yetu ya watanzania ya afya bora,maisha bora na elimu nzuri lakini eti unadhani una mtu ambaye atakuja kukuletea maslahi hayo!Watanzania tubadilike,tunahitajika kiongozi mchapakazi,kujituma na kufanya kazi ipasavyo!!