Magufuli: Mafisadi wamenikimbia CCM

Huyo Magufuli atueleze MAFISADI hawa wako UKAWA?:- ESCROW(JK,Gurumo,Ngeleja,Tibaijuka,Pindo,January,Muhongo,Chenge et al), UJANGILI(KInan et al) Sembe ( Ritz et al) Mikataba ya kifisadi (Mkapa et al ), NYUMBA ZA SERIKALI( Magufuli et al), MV Dar es Salaam ( Magufuli et al) Riba ya wakandarasi trilioni moja (Magufuli et al) ... CCM wafike mahala waone aibu .....
 

FISADI PAPA kiongozi ni EDWARD LOWASSA na sasa amepata msaidizi FISADI DAGAA Mbowe na Sumaye. Wanachotaka hawa mafisadi ni kuwaibia waTanzania.

MAGUFULI yeye hajawahi kuwa fisadi maana ufisadi hauko kwenye damu yake. Ni mseminari kama Dr. Slaa bali anachojali ni kuwatumikia WaTanzania.
 
Sasa wewe kumbe Uvatican ndo umeutanguliza kama kinga... Mkapa alieuza nchi hakuwa mseminary? Slaa aliekwenda SA kuwekewa Mzigo wa kutosha na sasa amenunua Nyumba Canada useminary wake umemsaidia vipi? Kugawa Nyumba za Serikali kuna uhusiano gani na Useminary wake? Mv Dar es Salaam, Trillion 1 kama Riba kwa wakandarasi? barabara zenye Mahandaki? .... Lisu amekuambia kuwa Richmond ni ya JK ndo maana hadi leo wanailipa .. sasa wewe tuambie UFISADI wa LOWASSA .... Huu Uvatican hausaidii maana wote kama raia wa Tanzania tumepigika mwanzo mwisho ... Kugawa nyumba za Serikali hadi kwa Vimada na kupelekea familia yake kuyumba si UFISADI? ...
 
Mbona tuliambiwa list of shame ni ndefu .
 
ESCROW, RICHMOND, EPA, DOWANS, IPTL, NET GROUP SOLUTION, UJANGILI, SEMBE, MEREMETA, KIWIRA, GAS, KATIBA MPYA, MABEHEWA FEKI, SUKARI SAGA, SONGAS, UUZWAJI WA BANDARI, ATC, TRL, UDA, BBRT ... Magufuli Pleaseeeeeeeeeeee
 
CDM limegeuka pango la wapiga dili na kimbilio la mafisadi
 

Mjipange jamaa atawamaliza
 

Nimtihani jamaa atawamaliza
 

Sijautanguliza u-vatican bali nimetumia malezi Mazuri ya uadilifu ya MAGUFULI wakati akiwa kijana mdogo Seminari ambayo bado anaonyesha ameyatumia kwa miaka yote aliyokuwa waziri bila kuliibia taifa, bali amekuwa akijitolea na kufanya kazi kwa bidii.

MAGUFULI HAJAHUSISHWA NA UFISADI PAPA WOWOTE LICHA YA KUWAPO SERIKALINI KWA KARIBU MIAKA 20.

Mkapa alikuwa mkatoliki lakini hakupata malezi ya uadilifu ya seminari kama Dr. Magufuli na Dr. Slaa alipokuwa mdogo.

Zaidi ya hapo hajawahi tumia dini yake katika siasa au katika kutimiza majukumu yake ya taifa tofauti na MCHUNGAJI EDWARD LOWASSA, anayeshinda makanisani kuwalaghai ili awatumie katika kutafuta madaraka.

FISADI PAPA LOWASSA aliyeshindikana hata na JK ni HATARI SANA KWA USALAMA NA UMOJA WA TAIFA LETU.
 

UDA (masaburi et al)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…