Magufuli amfagilia Jakaya!

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,275
Mh magufuli aliainisha urefu wa barabara tangu tulipo pata uhuru.
Alieleza uongozi wa JK umejenga 11300km kwa kutumia pesa za ndani kwa asilimia 80 ukilinganisha na 1300km tulipopata uhuru na 5000 km kipindi cha Mkapa.
Aliyazungumza katika hafla kuwekwa kwa jiwe la msingi uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya mayamaya Dodoma!
 
tunaomba uanze kupost vitu vyenye maono sio vya watu waliokoswa cha kuwaeleza wananchi
 
Ameongea mengi sana, lakini hakuna ukweli wowote. Amesema serikali kudaiwa ni kawaida kwa kuwa ni serikali tajiri ndiyo maana inadaiwa na pumba nyingine nyingi tu mpaka naona uvivu kuziandika!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…