Magufuli alia kwa wananchi kuikataa CCM aomba msaada kwa maofisa wa CCM

Anaponzwa na viongozi wake.
eti HAKUNA MWALIMU ANAYEIDAI SERIKALI,
halafu ategemee kura za walimu.
 
Baadae tusiseme tumeibiwa...

Haiwezekati CCM ikose wapiga kura 15 kila tawi...

Hayo matawi laki tisa ;yaliyohai ni mangapi, kati ya hayo yaliyohai ni mangapi yana umoja baada ya songombingo za kukatana kwenye mchujo wa chama?
 
Hapa mimi ndio uwa simuelewi kabisa maana hizo nchi anazotolea mfano kwani walikiondoa chama tawala kwa chaguzi au mabavu ya kivita? Au na yeye anataka niaminisha kuwa ata wakishindwa hawatoachia nchi mpaka mtutu?

Nashangaa,sisi tunatumia kichinjio tu na sio silaha. #twende na edo na ukawa mpaka ikulu
 

Asijali, umri unamruhusu. Akiwa mwenyekiti akijenge chama na kukisafisha then time ijayo anaweza kuukwaa!!! Who knows??
 
VUTA-NKUVUTE thibitisha hii habari, maana wewe uko jikoni, hali ya hapo chamani ikoje?, ni kweli mgombea wenu alilialia?,

pia ningeomba utufahamshe ile kamati ya kampeni iliyotangazwa kwa mbwembwe na Nape vipi? Imeshindwa kazi au mgombea hauziki?
 
Last edited by a moderator:
vuta-nkuvute thibitisha hii habari, maana wewe uko jikoni, hali ya hapo chamani ikoje?, ni kweli mgombea wenu alilialia?,

pia ningeomba utufahamshe ile kamati ya kampeni iliyotangazwa kwa mbwembwe na nape vipi? Imeshindwa kazi au mgombea hauziki?
makongoro aliwambia ukweli pale jagwani mkitaka ni mpigiye magufuli kampeni ccm eache tabia ya kukusanya watu kutoka mikoa tofauti na kampeni inako fanyika pia eache tabia ya kutumia rundo la wana mziki na wachekeshaji ! Akawambia ccm mnajuwa mimi ni msema ukweli mkishindwa kuacha hiyo tabia msije nilaumu maana nimesha watahadharisha !

 
Anaomba vijana wasifanye mabadiliko kwa pupa ikaja ikawa kama libya
 
so shame kwakweli,barabara ya Kidatu-Ifakara haifiki km 70 ila unatumia at leats 3 hrs kufika Ifakara kwa kutokea Kidatu.

Hapo kama umeoanda mwembamba au kidinilo ila ukipanda magari mengine hesabu 4-5hrs hapo hujataja mahenge na kwingineko
 

umejiandaa na familia yako??? ila nawaamini wale wadau wa JWTZ so problem solved :glasses-nerdy:
 

Mbona hataji kenya..Malawi
 
umejiandaa na familia yako??? ila nawaamini wale wadau wa JWTZ so problem solved :glasses-nerdy:

Jidanganye hivyo hivyo, hakuna jeshi lolote duniani ambalo liwahi kuishinda nguvu ya umma. Mabadiliko ni lazima na hata huko jeshini sio wote wanaunga mkono CCM.
 
Magufuli ni mwanasayansi, amefanya utafiti kaona majibu ni hasi!!
Anatoa mfano wa China, wakati China wanauwa wahujumu uchumi, ataweza kuuwa waliomweka pale??
UKAWA mbele kwa mbele tumechoka kudanganywa!!
 
Jidanganye hivyo hivyo, hakuna jeshi lolote duniani ambalo liwahi kuishinda nguvu ya umma. Mabadiliko ni lazima na hata huko jeshini sio wote wanaunga mkono CCM.

sijasema jeshi wanaunga mkono upuuzi mkuu ila namaanisha jeshi itawafundisha adabu watakaojitoa akili kuwashabikia wanasiasa barabarani huku wanawaowashabikia wanakula kiyoyozi :A S shade:
 
Nilishawasmbia kuwa wasipoweka lami 2014/2015 sitawapa kura yangu. wametudharau na kutupuuza watu wa Kilombero kwa kipindi chote cha miaka 50. Barbara hii ya kidatu ifakara inaumuhimu mkubwa sana kwa uchumi wa wana Kilombero.

Sio hayo tu mkuu maeneo ya ulanga na kilombero kuna kiasi kikubwa tuu cha rasilimali, mazao ya kilimo nk lakini hii barabara kila wakati wanawapiga kalenda inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…