Magonjwa Haya

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,033
Ndugu, Najua nilipaswa kuweka kwenye jukwaa la Lugha. Lakini kwa kuwa ni maneno ya kitabibu nimeliweka hapa. Nahitaji kujua maana ya magonjwa haya kiswahili.

  • Cleft palate
  • Head, neck sinusitis-
  • Fistula
  • Umbilical Hernia
  • Inguinal Hernia
  • Hidrocele
  • Threoglossal Duch cyst
  • Syndactily
  • Polydactily
  • Undescended testis
  • Phimosis
  • Hypospadia
  • Minor anorectal malformation
  • Cutaneous melanocytic nervous
  • Keloids and hypertrophic scars
  • Vascular anomalities
  • Haemangiomas
  • Post burn contractures
  • Soft tissue tumours
  • Wound sequelae
  • Dermoid and Epidermal cysts
 
Ndugu, Najua nilipaswa kuweka kwenye jukwaa la Lugha. Lakini kwa kuwa ni maneno ya kitabibu nimeliweka hapa. Nahitaji kujua maana ya magonjwa haya kiswahili...
Nadhani taasisi hizi zinaweza kukusaidia mkuu: BAKITA, Baraza la Kiswahili la Taifa, Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) au Baraza la Kiswahili la Afrika Mashariki (BAKAMA). Pia usiwasahau TUKI, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

All the best mkuu.
 
kha msiwe n majibu ya mtima nyongo hata mimi nahitaji kujua magonjwa hayo kwa kiswahili. ila hilo fistula wanasema ni ugonjwa unaosabaisha kuvuja kwa mikojo kwa mwanake aliyepasuka njia ya mkojo wakati wa kujifungua.
 
 
Ndio maana tukashauri kuwa hawasiliane na wataalam wa Kiswahili.
 


fistula nafikiri tumelitohoa kuwa FISTULA

INGUINAL HERNIA==KINENA NGIRI, MUHIMU HAPA KUWA HERNIA ZOTE ZINAITWA NGIRI ILA ZINATOFAUTIANA LOCATION

UMBILICAL HERNIA ===KICHANGA NGIRI HA HA HAAA TAFSIRI KWELI KALI MI NINGESEMA NGIRI YA KITOVU TU

HYDROCELE==KAMA SIKOSEI NI BUSHA ILA TOFAUTISHA NA BUSHA LITOKANALO NA FILARIASIS NA BUSHA LITOKANALO NA HERNIA(NGIRI)

KWA MSAADA ZAIDI NENDA www.google.com/language_tools UTAPATA TAFISRI YA MAGONJWA YAKO YOTE ILA JUA LUGHA ILITOMIKA UNAWEZA UKAONA BORA UTUMIE KIINGEREZA TU
 

thanks mkuu and all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…