Weka dalili mkuu tutambue haraka
1. Mafua ya mara kwa mara
2. Kuumwa kichwa
3. Kubadilika rangi ya ngozi
4. Vipele vya ajabu ajabu kifuali, sehemu za siri, mgongoni nk
5. Kuwaka moto sehemu za siri na maumivu makali yasiyoeleweka
6. Kupata vitu kama vidonda ambavyo vipele vidogo vidogo vilivyojikusanya pamoja na baadae ubadilika kama mtu aliungua kwa maji ya moto. Hupona vyenyewe
7. Kutokwa na vidonda vidogo mdomoni kwa ndani ambavyo uuma sana
8. Nywele kulegea na kupoteza ubora wake
9. Kutokwa na uvimbe kwenye kuta za kooni na hutoa vitu kama usaa ukichunguza kwa umakini
10. Kubadilika kwa harufu ya sehemu za siri na hata kunuka sana
11. Kupata UTI mara kwa mara
12. Kubanwa kifua na/ au shingo kwa muda na kuachia yenyewe baada ya muda fulani
13. Kuwashwa mwili hasa macho na usipojua unaweza kununua miwani au kubadili miwani kila siku
14. Tumbo kujaa gas au kushindwa kusaga baadhi ya vyakula kwa haraka mfano wali au chapati au chocolate
15. Miguu na mikono kubadilika ulaini na kuwa ngumu sana utafikiri una miiba mikononi na miguuni
Zipo nyingi sana ukikaa na mgonjwa wako vizuri na kirafiki atakueleza mambo 1,000 kidogo.