Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,714
Endelea kuota.Natoa wito kwa jeshi la Polisi kuhakikisha kwamba, Wazee hawa wapenda haki walioshinda kesi ya kuikomboa Timu yao ya Yanga kwenye mdomo wa Mamba Wanalindwa...
Hana status yoyote zaidi ya siasa na chuki vilivyomjaaUnajua unajiharibia status yako
Msinipangie majukwaaUnajua unajiharibia status yako
Umetoa wapi Uhakika kama Wameghushi?Inawezekana una hoja, ila umeileta kishabiki.
Siwezi kukataa kuhusu baadhi ya madhaifu ya klabu! Ila haileti mantiki kwa hao wazee kushinda kesi kirahisi tu huku wahusika wakuu wanayo iongoza klabu kwa sasa, wakiwa hawajashirikishwa kwenye mchakato wa hiyo kesi!
Na pia hao wazee kughushi saini za wazee wa bodi ya wadhamini wa klabu, sidhani kama ni sahihi.
Hoja hupingwa kwa hoja, kwahiyo kwa kauli kama zile za Nape unataka tumchekee?Hana status yoyote zaidi ya siasa na chuki vilivyomjaa
Hatukupangii majukwaa mdogo wangu ni ushauri tu tunakupa. Jiepushe kuleta uzi au ma comment ya kindezi. Ushauri tuMsinipangie majukwaa
Tunataka kufumua haya mambo ya Simba na Yanga iki kuamsha Watanzania, Umemsikia Manara? Hatuwezi kunyamazia ujinga ili tupate kura, Never!Hatukupangii majukwaa mdogo wangu ni ushauri tu tunakupa. Jiepushe kuleta uzi au ma comment ya kindezi. Ushauri tu
Next time ukileta uzi wa maana kuhusu chadema yako watu watakuchukulia light.
Stay focused mdogo wangu, hizi mambo za simba na Yanga zinakulinganisha na wa kijiweni. Ni kitu wenzako ccm na serekali wanaleta kusudi kuwahamisha mind
Sasa wewe ndo umeongea nini hapo kwenye uzi wako? Usimba wako utakupotezea credits kutoka kwenye tabaka la wana Yanga dogo. Wewe unapambana sana kuijenga Chadema jaribu mara zote kutokuwa biased na mihemko, unawagawa hao unaotaka kuwa win!
Kiswahili kinagongana hapa.Yanga aina tofauti na ccm. Yani wamekuwa na raisi ambao hawajui katokea katavi au ostabey mananeo ya nape