- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!
- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, na tayari ameshashuka Dodoma na Jumatatu mambo yatakuwa hadharani! STAY TUNED!
WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!

huyu jamaa ni muongo sana. Taarifa zake na uchambuzi wake ni wa kitoto. Sishangai amekosa ubunge kwani nilitarajia hivyo. I dont buy taraarifa za willy
Name calling mkuu!!!huyu jamaa ni muongo sana. Taarifa zake na uchambuzi wake ni wa kitoto. Sishangai amekosa ubunge kwani nilitarajia hivyo. I dont buy taraarifa za willy
Mkuu ile post ya CAG ni issue, mkwerre hawezi kumgusa pale!!Jumatatu tusishangae CAG akipigwa chini na Mkwe're kwa ajili ya kulinda maslah ya washkaji zake (washkaji wa mkuu)
- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!
- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, na tayari ameshashuka Dodoma na Jumatatu mambo yatakuwa hadharani! STAY TUNED!
WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!
huyu jamaa ni muongo sana. Taarifa zake na uchambuzi wake ni wa kitoto. Sishangai amekosa ubunge kwani nilitarajia hivyo. I dont buy taraarifa za willy
willy na field marshal ni watu wawili tofauti,marafiki...labda kama willy ameanza kutumia hii id ya fidel marshall siku hizi...:rolleyez:
Ningekuwa JK, ningekubali barua za kujiuzulu na kisha kutangaza baraza jipya la mawaziri na kuwarudisha walewale bila ya kuongeza hata mmoja kutoka coucus ya CCM. Yaani back to square one ningebadilisha wizara tu.
JK hakukaa na wabunge wa CCM wakati wa kupanga baraza la mawaziri kukubali huu utamaduni ambao ni mpya ni kuanzisha vita ya vyeo. Kuna watu watakaokuwa wanaachwa kwenye baraza na kubakia na vinyongo watakuwa wanawapigia fitina mawaziri ila watoke huenda wao wakateuliwa.
coucus haiwezi kutaka nani atolewe serikalini bali ni yule aliyewateua kwa kuona kama anaridhika na utendaji wao. Wengi wa mawaziri wanafanya kazi kwa maelezo ya JK kuwalazimisha kujiuzulu maana yake hawana imani na JK mwenyewe, na hilo JK kama rais wa nchi anatakiwa kulikataa kabisa labla kama katiba mpya itatoa muongozo huo.
JK needs to shake up baraza kwa kulipunguza yaani analivunja na kutangaza lingine dogo na katika hilo anarudisha jeshi la mwavuli, yaani kigezo ni kuwa waziri katika miezi kumi na mbili iliyopita.
Wewe ndiye JK?
Kimsingi wamechemsaha. Waliona Caucus ni bora kuliko bunge.
Walimwona Zitto kama vile alikuwa amechemsha.
Kama Kikwete amekataa, then yuko yuko right.
Wabunge wa CCM hawawezi kumvua uwaziri waziri yoyote. Hawana madaraka hayo.
JK vile vile ana power ya kulivunja bunge akiona halimsaidii. Yaani kama kweli JK ni Rais makini, hakuna haja wala sababu ya kubadilisha baraza lake kwa sasa. Anachotakiwa kusema ni kuwa kama waanaoona mawaziri hawafanyi kazi 'The bucks stop with him' hivyo yeye kama mteule wa hao mawaziri bado ana imani na mawaziri wote. Then atafute muda na wakati unaomfaa yeye kama akiona kuna haja abadili baraza lake. Hatuweza kuwa na msululu wa mawaziri wakuu wastaafu na kuendelea kuwahudumia hela ya walipa koda. Hatakiwi kuwa na waziri mkuu mpya labla itokee natural course ama bunge lifanye kazi yake na si caucus ya CCM.
Akiruhusu kujuzulu kwa yeyote maana yake ni kwamba ana admit scandal nyingine kuwa serikali ya CCM ni ya kifisadi na itawatafuna mpaka 2015 kama mabavyo Richmond inavyowabungua.