William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!
- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, kesho anashuka Dodoma kupokea na kukubali barua atakazopewa na Waziri Mkuu, za walioandika tayari yaani Mawaziri Saba, SO STAY TUNED!
WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!

Mzee ES naona hii imekupita. JK keishatua Dodoma, kaamua aliloamua na amesharudi Dar tayari kwa safari ya Lilongwe kesho. Maagizo kamwachia Pinda, atayatoa jumatatu.
JK yupo Dodoma sasa hivi halafu wewe unasema Kesho!!!!!? Hiyo kesho ndio anaondoka
Wewe ndiye JK?mmepotoshwa na ninyi kupotoka..
Unapoteza muda.mmepotoshwa na ninyi kupotoka..
Jestina, Weweeee siunajua anaingia jamvini yule ... usitake Waziri afe kiume alafu apitie kuuliza how can I get to Jestina ...? anybody with her contact lol ... hapo sasa ukiunganishwa na sakata zima!! Lakini kweli nafikiri waziri lazima aonyesha last challenge ... Je akifanikiwa kuwatingisha na ku maintain Post.. tusubiri tuone!!kuachia ulaji,hata ningekuwa mie nisingekubali ng'o......mpaka uachishwe ndio kufa kiume,lol:glasses-nerdy:
- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!
- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, na tayari ameshashuka Dodoma na Jumatatu mambo yatakuwa hadharani! STAY TUNED!
WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!
Duh, kila mtu anasema lake
Duh, kila mtu anasema lake
...kama kifo Kanumba.
Edson wewe upo TZ au upo ughaibuni? ( sijakupinga na wala sijakuunga mkono. )kikwete ypo dsm na si dodoma...leo naona jf imejaa thread mfu nyingi sana
kuachia ulaji,hata ningekuwa mie nisingekubali ng'o......mpaka uachishwe ndio kufa kiume,lol:glasses-nerdy:
U mean taarifa hizi ni kutoka kwa Political loser!!??....huyu jamaa ni muongo sana. Taarifa zake na uchambuzi wake ni wa kitoto. Sishangai amekosa ubunge kwani nilitarajia hivyo. I dont buy taraarifa za willy