LENJENTZ Member Joined May 21, 2013 Posts 69 Reaction score 10 Jan 22, 2014 #1 Bado tuna Nafasi za Geologist engineers ,tafadhali Kama una ndugu Jamaa au rafiki au wewe mwenyewe ni geologist tuma cv yako au namba yako ya Simu tuu kwa info@lenjen.co.tz
Bado tuna Nafasi za Geologist engineers ,tafadhali Kama una ndugu Jamaa au rafiki au wewe mwenyewe ni geologist tuma cv yako au namba yako ya Simu tuu kwa info@lenjen.co.tz
Omuregi Wasu JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 749 Reaction score 152 Jan 22, 2014 #2 unataka Geologist wa level gani? Ph.D au Masters
8 89ema Member Joined Mar 28, 2011 Posts 29 Reaction score 0 Jan 22, 2014 #3 ungekuwa brief kidogo unataka mageologist wangap,wanatakiwa na kampuni,na kuna wengne tumesoma bsc in geology na wengne with geology tunaweza kuomba.
ungekuwa brief kidogo unataka mageologist wangap,wanatakiwa na kampuni,na kuna wengne tumesoma bsc in geology na wengne with geology tunaweza kuomba.