Magauni bei za jumla

Ni sawa najua kuna watu mmejawa roho mbaya unacoment biashara ya mtu na hununui ni wivu wa biashara....wateja eeh mkitaka ya 3000 mtafuten huyu mkuu awatumie mana biashara ni yangu sijui unaingiza nyongo ya nini kama tunadaiana
Mbona povu tena wewe mwenyewe umesema hata za 5000 zipo [emoji28] [emoji28] shida nini
 
Ha ha ha ha ha ha tulia tufanye manunuz mkuu
Wala usijal kwenye biashara tumezoea watu wa aina hii, hawanunui lakin wanaponda biashara ya mtu kama mtu amekupa mtaji, ndo kana nasema isiwe kesi wateja wa kununua waende kwake awape ya 3000 nashukiru Mungu kwa rizki zake nauza hadi natoa jasho! Maneno ya mtu si rizki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…