Gari yangu ya kwanza ilikuwa Nissan Sunny (1984) ambapo ndiyo zilitoka kwa jina hilo la Nissan, kabla ya hapo zilikuwa zinautwa Datsun. Mpaka leo kila nikibadilisha gari nanunua Nissan. Sasa nhivi ninayo Nissan Pathfinder. Nissan zote nilizowahi kutumia hazijanipa matatizo yoyote. Magari mengi kikubwa ni service. Kwa upande wa spare parts, inaweza kuwa sida kuzipata kwa sababu Nissan siyo mengi TZ kama Toyota. Kuhusu "original or genuine spares" yhii ni kazi kubwa. Sasa hivi magari mengi yawe ya USA, Japan au Ulaya karibu 50% au zaidi yana parts zilizotengenezwa China. Katika nchi zingine kuna kitu wanaita "after market parts" hizo ni spare zilizotengenezwa na kamuni yoyote kwa niaba au ruhusa ya Nissan. Spare kama hizo haziandikwi Nissan au genuine Nissan parts lakini zinatumika pasipo tatizo. Ila inawezekana zipo parts sensitive ambazo unaweza hazitegenezwi na third party. Lakini nijuavyo wanawapa third party kutengeza parts.Wapendwa wenye uzoefu wa magari naomba mnijuze magari ya Nissan yana tatizo gani...nimekuwa nikiambiwa nisijaribu kununua gari ya Nissan lolote kwani litanisumbua ninunue tu kampuni ya Toyota.sijajua tatizo ni nini..
Mimi kuna gari la Nissan Primera nalipenda na ninatamani kulinunua ila nimeambiwa magari yote ya Nissani kipengele,nimewauliza hao wanaosema hivyo kama wamewahi kumiliki Nissan wanasema na wao waliambiwa hivyo..so nimeona nisije nikaacha kitu cha maana kwa ajili ya maneno ya kuambiwa..
Maana akili za kuambiwa,changanya na zako[emoji16]
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
Gari yangu ya kwanza ilikuwa Nissan Sunny (1984) ambapo ndiyo zilitoka kwa jina hilo la Nissan, kabla ya hapo zilikuwa zinautwa Datsun. Mpaka leo kila nikibadilisha gari nanunua Nissan. Sasa nhivi ninayo Nissan Pathfinder. Nissan zote nilizowahi kutumia hazijanipa matatizo yoyote. Magari mengi kikubwa ni service. Kwa upande wa spare parts, inaweza kuwa sida kuzipata kwa sababu Nissan siyo mengi TZ kama Toyota. Kuhusu "original or genuine spares" yhii ni kazi kubwa. Sasa hivi magari mengi yawe ya USA, Japan au Ulaya karibu 50% au zaidi yana parts zilizotengenezwa China. Katika nchi zingine kuna kitu wanaita "after market parts" hizo ni spare zilizotengenezwa na kamuni yoyote kwa niaba au ruhusa ya Nissan. Spare kama hizo haziandikwi Nissan au genuine Nissan parts lakini zinatumika pasipo tatizo. Ila inawezekana zipo parts sensitive ambazo unaweza hazitegenezwi na third party. Lakini nijuavyo wanawapa third party kutengeza parts.
Naomba unisaidie naitamani sana pathfinder ,naomba maelekezo hasa ya kuzingatiaGari yangu ya kwanza ilikuwa Nissan Sunny (1984) ambapo ndiyo zilitoka kwa jina hilo la Nissan, kabla ya hapo zilikuwa zinautwa Datsun. Mpaka leo kila nikibadilisha gari nanunua Nissan. Sasa nhivi ninayo Nissan Pathfinder. Nissan zote nilizowahi kutumia hazijanipa matatizo yoyote. Magari mengi kikubwa ni service. Kwa upande wa spare parts, inaweza kuwa sida kuzipata kwa sababu Nissan siyo mengi TZ kama Toyota. Kuhusu "original or genuine spares" yhii ni kazi kubwa. Sasa hivi magari mengi yawe ya USA, Japan au Ulaya karibu 50% au zaidi yana parts zilizotengenezwa China. Katika nchi zingine kuna kitu wanaita "after market parts" hizo ni spare zilizotengenezwa na kamuni yoyote kwa niaba au ruhusa ya Nissan. Spare kama hizo haziandikwi Nissan au genuine Nissan parts lakini zinatumika pasipo tatizo. Ila inawezekana zipo parts sensitive ambazo unaweza hazitegenezwi na third party. Lakini nijuavyo wanawapa third party kutengeza parts.
tatizo la magari ya Nissan pekee ni pale utakapotaka kuliuza ili ununue jingine, unaweza uza gari nzima kabiss kwa milioni 1Wapendwa wenye uzoefu wa magari naomba mnijuze magari ya Nissan yana tatizo gani...nimekuwa nikiambiwa nisijaribu kununua gari ya Nissan lolote kwani litanisumbua ninunue tu kampuni ya Toyota.sijajua tatizo ni nini..
Mimi kuna gari la Nissan Primera nalipenda na ninatamani kulinunua ila nimeambiwa magari yote ya Nissani kipengele,nimewauliza hao wanaosema hivyo kama wamewahi kumiliki Nissan wanasema na wao waliambiwa hivyo..so nimeona nisije nikaacha kitu cha maana kwa ajili ya maneno ya kuambiwa..
Maana akili za kuambiwa,changanya na zako[emoji16]
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
Na hapo ndipo tatizo kubwa la kumiliki Nissan lilipo...wauzaji wanakuuzia spea feki kwa bei ya originalWataalam wanasema hakikisha unatumia spare original kwa Nissan je nitajuaje kama hii ni original? Kwa mfano oil filter ziko nyingi zimeandikwa Nissan genuine spare lakini ni feki. Na muuzaji anaweza kuweka bei juu ili kukuingiza maboya akasema ni original
Ipo vyema.Jamani naombeni kujua pia kuhusu NISSAN DUALIS jamani maana hii gari naipenda mpaka naumwa
Shukrani, ila nikipata lisilo na roof sita pata shida iyo si ndioIpo vyema.
Tatzo lake ni kubanduka kwa roof tu ila wanatengeneza.
mkuu kuna gari ambalo halina roof kweli?? labda wataalam watusaidieShukrani, ila nikipata lisilo na roof sita pata shida iyo si ndio
unaposema roof si unamaanisha kile kioo cha juu kinacho funguka, kama ni iko kuna magari ya dualis baadhi hayanamkuu kuna gari ambalo halina roof kweli?? labda wataalam watusaidie
Hapana tunamaanisha vile vitambaa kwenye roof hata milangoni huwa vinabanduka....unaposema roof si unamaanisha kile kioo cha juu kinacho funguka, kama ni iko kuna magari ya dualis baadhi hayana
kwaiyo mwanangu unanishauri nini mkuu, ebu niambieHapana tunamaanisha vile vitambaa kwenye roof hata milangoni huwa vinabanduka....
Sijui nitumie lugha gani kiutaalamu
kwaiyo mwanangu unanishauri nini mkuu, ebu niambie
Go on... Ukipata gari nzuri hivyo vitambaa sio shida mafundi kibao. Na by the way huwa vinaanza kuchoka baada ya miaka kuanzia 12-15 toka lianze kutumika...kwaiyo mwanangu unanishauri nini mkuu, ebu niambie
Vp kuhusu Nissan Patrol Y61 Td42 , ukilinganisha na Land Cruiser let’s say 100 or 105 series dieselUnanikumbusha Nissan sunny (station wagon), manual ndo nilijifunzia kuendesha miaka ya 90. Kaliuzwa kale kagari kakiwa kazima. Spare zilikuwa ghali kidogo ukikinganisha na Toyota. Nikaendeaha sana Nissan terrano ya diesel miaka ya 2000 mwanzoni (comfortable na imara), spare hazikuwa rahisi kama toyota ila zinamithilika na hununui kila siku. Now, nina experience na Nissan patrol TD42 (non turbo), inatulia barabarani, ngumu.
Nissan xtrail 1st generation sidhani kama zilikuwa nzuri sana, nadhani zilijuwa na issue ya head yake au kitu kama hicho, ila zilizofuata sidhani kama zina issue. Patrol ZD30 pia zina issue kidogo ya overboosting ya turbo ila kuna tiba zake na namna ya kuihudumia vizuri. Vinginevyo sidhani kama kwa ujumla wake Nissan zina shida. Tena naona kama ni imara sana hasa miguu, stability na handling.
Spare kweli ni ghali kidogo na nashauri ununue duka ambalo unajua kweli unauziwa genuine. Ukifunga unasahau
Sina uzoefu sana na LC ila naamini unamaanisha engine za diesel, 1HZ, au nyingine zinakuwa na 1HDT. Zote ni gari nzuri, Kwenye LC, TOYOTA alitulia sana kutengeneza gari imara na amefanya maboresho kwenye kila toleo including 100 series. Hapa itategemea sana na preference yako. Ila binafsi napenda Nissan inavyotulia barabarani na handling kwa ujumla.Vp kuhusu Nissan Patrol Y61 Td42 , ukilinganisha na Land Cruiser let’s say 100 or 105 series diesel
Aisee!!! Sawa Mkuu.