Magari ya atcl yameishia wapi???

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,680
Reaction score
37,867
Wapendwa wakati umefika kuishi kama tuko tarime nakumbuka siku moja nikisoma mada moja ya uhuni na wizi wa magari yalioagizwa kutoka dubai na actla kwa bei ya japan kama mapya kumbe used...ikasikika TRA wanamefunga acc za atcl..mwisho wakafunguliwa hilo nilion daily nyuzi..sasa imefika wakati wa watnzania kudai haki zao kama sijakosea idadi ilionyesha yaliletwa magari 26 yaliotolewa nakufanya kazi ni 10 tusasa kama inafika magari 16 yanaishia hewani na serikali wamekaa kimya tukisema ndiop yanayotumika kwenye kampeni za CCM sijui tutakosea...embu tuamke wapendwa yale magari mashangingi yalikuwa kwenye hekalu la mtu binafsi sasa kama tutaacha upuuzi huu ukiendelea sijui KIKWETE ana mpanngo gani na wahuni hawa..anyway ngoja tusubir ....Nahisi wakati wa kuamka kudai haki zetu
 

Hayo unayosema pengine yana ukweli kwani mpaka hivi sasa hili shirika linaendeshwa na Kawambwa toka kwao Bagamoyo [ na kila mwezi mamilioni ya walipa kodi yanapelekwa ATCL na kutumiwa bila usimamizi makini] kwani hakuna bodi mpya iliyoteuliwa toka Nyang'anyi na bodi yake wamalize muda wao!!
 
Duuu., kweli hili shirika ( ATCL ) ni ng'ang'ari bado halijafa tuuu !!! liko I.C.U kitambo tena kwenye comma !!!!!

Waliopo pale wanakula tuu, midomo yao iko wazi kama ya mamba ikisubiria chochote kutoka kwa walipa kodi !!
Pale serikali bila kubadilisha mfumo ili shirika lijiendeshe kibiashara, sijui kama litaamka tena !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…