Habari za uhakikaka kutoka TBS mafuta ya ubuyu si mazuri kwa matumizi ya chakula ila ni mazuri kwa matumizi mengine unayoyafahamu. so be careful unapotafuta mafuta hayo. TBS walipokea sample toka kwa wajasiriamali wa Dodoma wakitaka kujua kama mafuta hayo yanafaa kwa matumizi ya chakula.