Mafuta ya Petroli yameshuka kuliko maelezo

Snitchertz

Member
Dec 15, 2014
26
13


Ewura hapo macho yana gundi, yakipanda ni fastaaa kabla hata mtangazaji hajamaliza kutangaza...
Wanajamvi tuanze kupiga kelele.
 
Mafuta hayawezi kushuka kiasi hicho tz ingawa kwenye soko la dunia ndo hivyo yapo chini,sasa hivi CCM wapo busy kukomba hazina.
 
Ewura hapo macho yana gundi, yakipanda ni fastaaa kabla hata mtangazaji hajamaliza kutangaza...
Wanajamvi tuanze kupiga kelele.

Kweli wadau, leo mafuta almost Tsh2300, ni majanga haya. Bei ilifika 1800, leo 2300 ongezeko la ajabu kabisa!
 
Bei itapanda zaidi ya hapo kwa tanzania au mnajifanya hamjui mama baba riz na huyo riz ni wamiliki wa vituo vya mafuta

Sasa ikiwa mkuu wa kaya ndio muuza mafuta je unafikiri atasimamia kushuka kwa bei

Lowasa hoyeeeeee ukawa hoyeeeeee jamani Chonde Chonde dawa ni Kuwamwaga nnya hawa ccm
 
Kwani ilikuwaga dollar ngap mkuu Snitchertz kabla ya kushuka
Unaambiwa mwaka jana kipindi kama hiki yalifika dola 100 za kimarekani.

Kwa hiyo kama sasa yamefikia kuuzwa chini ya dola 40 kwa pipa ni kwamba yameshuka sana.

Tunatarajia na Ewura nao washushe bei ya mafuta wiki ijayo.

Tunawatahadharisha kuwa wasifikirie 'upumbavu' na 'ulofa' wetu utatufanya tusijue kuwa mafuta yameshuka sana bei kwenye soko la dunia.
 
EWURA ni kansa nyingine inayotutafuna watanzania na hakuna Dawa nyingine zaidi ya LOWASA ili kupambana na akina JK waliotandaza sheli nchi nzima alafu wanatuhadaa watanzania wakiungana na mabwege wachache wenye gundi machoni.
 
Huku Nyakanazi imegonga 2650 per liter, ni hatari sana. Ila hivi na hawa UKAWA tukiwapa nchi si na wao watafanya hayahaya? Maana hata mkuu alivoingia hakuwa anajua chochote sasa akajanjarukia njiani kwani UKAWA wao hawawezi kujanjaruka.Dawa ni kuliombea taifa liwe na hofu ya Mungu tu basi, aje CCM aje UKAWA ama hata ACT kama hakuna hofu ya Mungu mambo ni yale yale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…