Usithubutu mwanaume... Yanachubua tena ni makali sanaHaya mafuta yanapigiwa promo sana madukani yanafaa kwa matumizi???
Yanachubua au kung'arisha???maana mafuta ya kung'aa au whiten yanapaswa wapake wanawake
Hii perfect white jee???Kuna member humu ashawah kuyasikia?
Ndo maana nikauliza manwanaume hivyo vitu hatutumii acha kuuliza uliza
Hahaha sio poa. Inategemea na mazingira atakayokuwepo mwanao hauwezi ishi naye nyumbani miaka yote. Halafu sidhani kama lotion zote ni mbayaSiku nikiona mwanangu wa kiume anataka losheni apake ntampiga had azime kwakweli
Hahaha sio poa. Inategemea na mazingira atakayokuwepo mwanao hauwezi ishi naye nyumbani miaka yote. Halafu sidhani kama lotion zote ni mbaya
Nilikuwa sijajua kuwa wewe ni Mdada. Nilidhani ni dingi flan mkoloni akiona mwanae anapaka lotion basi ni kipigo haijalishi lotion ganikuna loshen za kiume inajulikana..ndo utake maperfect whte kwwl...dah..nitakupiga haf ushangae
Nilikuwa sijajua kuwa wewe ni Mdada. Nilidhani ni dingi flan mkoloni akiona mwanae anapaka lotion basi ni kipigo haijalishi lotion gani
Kuna mada zingine huwa zinanipa ukakasi sana kuchangia mada, hasa pale ninapo linganisha kinacho jadiliwa, na jinsia ya mleta mada...
Kuna mada zingine huwa zinanipa ukakasi sana kuchangia mada, hasa pale ninapo linganisha kinacho jadiliwa, na jinsia ya mleta mada...
Hii inasikitisha sana mkuu....Ndo mjue mmebaki wachache sana
Tabia zipi?Mama mimi!acha hizo tabia za aina hyo
Kwani ni crime kwa mwanaume kupaka lotion?Siku nikiona mwanangu wa kiume anataka losheni apake ntampiga had azime kwakweli
yangu ni kuwa kuna loshen za kiume...iweje utake kupaka haya ya kuchubuaKwani ni crime kwa mwanaume kupaka lotion?
za kutaka kupaka loshen za kikeTabia zipi?
Siku nikiona mwanangu wa kiume anataka losheni apake ntampiga had azime kwakweli