K KANAL Senior Member Joined Dec 26, 2012 Posts 112 Reaction score 66 Apr 11, 2013 #1 Hivi tunaongea kuna mafuriko katika mji wa Kahama ,maji yamejaa kwenye majumba yaani kwa kifupi hali ni mbaya
Hivi tunaongea kuna mafuriko katika mji wa Kahama ,maji yamejaa kwenye majumba yaani kwa kifupi hali ni mbaya
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Apr 11, 2013 #2 Pole kwao, vipi na wenyewe wanaishi mabondeni?
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,137 Apr 11, 2013 #3 Poleni sana watu wa Kahama. Kuna haja ya kuwa na mitaro ya maji ya uhakika katika mji wenu!
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 640 Apr 11, 2013 #4 Duh poleni sana wakazi wa kahama,msitegemee jipya from this govt
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,974 Reaction score 2,492 Apr 11, 2013 #5 poleni sana kahama.
A ali777 Senior Member Joined Oct 13, 2012 Posts 168 Reaction score 104 Apr 11, 2013 #6 Haya wale kina Getruda mko wapi kucomment. Zanzibar maduka yakiungua moto mnasingizia sababu ni uchomaji wa makanisa. Sasa hayo mafuriko sababu ni nini au makanisa yamemwagiwa maji huko kahama. hehe imani bwana
Haya wale kina Getruda mko wapi kucomment. Zanzibar maduka yakiungua moto mnasingizia sababu ni uchomaji wa makanisa. Sasa hayo mafuriko sababu ni nini au makanisa yamemwagiwa maji huko kahama. hehe imani bwana
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 Apr 11, 2013 #7 Poleni wakazi wa KA-HA-MA mnasubiri nini KU-HA-MA?
K KOCHECHA Member Joined Nov 5, 2012 Posts 38 Reaction score 7 Apr 11, 2013 #8 ni misikiti imetapikiwa