Mafundisho ya ndoa kwa wakatoliki

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Tazama picha hii vzr kisha tuelimishane umeielewaje!!!
 

Attachments

  • 1399708811754.jpg
    16.5 KB · Views: 480
Nimeiona ni picha iliyo na sura mbili tofauti,ya binti mbichi na mrembo na mwanmke aliyezeeka,inahusiana vipi na mafundisho ya wakatoliki ya ndoa?
 
duh, ndio mafundisho ya ndoa ya katoliki yako hivyo?
 
Nimeiona ni picha iliyo na sura mbili tofauti,ya binti mbichi na mrembo na mwanmke aliyezeeka,inahusiana vipi na mafundisho ya wakatoliki ya ndoa?

Maisha yanabadilika, Leo sio kesho. Unampenda Leo anang'aa km queen ila siku zinavyoenda ujue atabadilika kwa kuchuja. Hivyo tunakuweka tyr kisaikolojia kuvumiliana mpaka kufa. Usidhani atakuwa beautiful tangu enzi hizi mpaka uzeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…