Mafundi wa skiming na rangi

Mimi ni fundi rangi lete kazi yako tuku pambie makazi yako kwa maongezi zaidi 0718884670
 
Mkuu ukipata kazi nichukue kijana mie pia fundi mkuu [emoji120]
 
Tunafanya skimming ilio nyooka mabonde yanayo onekana wakati wa taa tunarekebisha na kuacha kuta zako zikiwa smooth na finishing nzur ya rangi pamoja na kuta zenye fangas na muonekano wa zamani tuna tibu kwa dawa husika na kufanya muonekano mpya kabisa na wenye kudumu kwa elimu zaidi wasiliana nami 0718884670
 
Kama mhusika akiwa hayupo mtaiba rangi Lita ngapi?
 
Kutana na mafundi walio bobea katika nyanja za finishing za rangi pamoja na material aina mbali mbali,
Ila leo nakuja na material ya aina ya Mimina rough plaster,
Ni mazuri ya kuvutia kimuonekano na uhimara ki ubora.
Yana uwezo wa kuvumilia hali ya kuta zenye fangasi na kusahau tatiz hilo na haya potezi uhasilia wa rangi iliopo,
OFFER ukinunua material haya haina haja ya kutafuta mafundi Company itakupatia mafundi wazur bila gharama ya ufundi.
Kwa huduma na msaada zaidi wasiliana nasi 0718884670View attachment 2345335View attachment 2345338View attachment 2345337View attachment 2345336View attachment 2345334
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…