Mafundi photocopy msaada please

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Nimenunua wino wa unga lengo langu nikurefill kwenye cartridge iliyokwisha...
Nilipewa ushauri na mdau wangu cz yeye anarefil, aliyenielekeza ili linamtatiza...
wino wa unga ambao niliagiza bahati mbaya nimeletewa wa ir 2420 badala ya ir 2520 ambayo ndio photocopy yangu
Swali la msingi utafaa kurefill?
NB:Nimemuliza aliyenitumia anasema unafaa...nimemsisitiza tuchange anasema hana mwingine kamaliza...
Msaada mafundii...je utafaa?
 
Unafaa lakini sio kwa kiasi kikubwa hivi ,kwa sababu Ir2420 ni tofauti kidogo na ir2520 ,ir2520 ni kubwa kidogo tofauti na ir2420
 
Unafaa lakini sio kwa kiasi kikubwa hivi ,kwa sababu Ir2420 ni tofauti kidogo na ir2520 ,ir2520 ni kubwa kidogo tofauti na ir2420
Sijakupata unamaana gani *sio kwa kiasi kikubwa hivi*
 
Tumia hakuna shida. Mie mbona nshawahi kuchukua had wa printer ya hp nikajaza na had leo inapiga tu. Ila inaweza ikatoa nakala faint kidogo
 
Tumia hakuna shida. Mie mbona nshawahi kuchukua had wa printer ya hp nikajaza na had leo inapiga tu. Ila inaweza ikatoa nakala faint kidogo
OK poa nitatoa mrejesho imekuwaje...
 
OK poa nitatoa mrejesho imekuwaje...
Photocopy ninayotumia ...ukiwasha asubuhi ikiwa imepoa inatoa faint BT ikitoa copy km 30-50 inatoa crear hii uwa chanzo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…