SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Comment bora kuwahi kutokea JFJaribu kuangalia kama kuna USB port ambayo kile ki plastic cha kati kimechomoka na nyaya zimegusana.
Mimi kuna Lenovo yangu moja ilinitokea hivyo, laptop ikawa haiwaki kabisa..
Nashukuru mkuu, ngoja kesho nitaivalia njuga niisambaratishe yote nikague hivyo vitu ulivyoniambia.Jaribu kuangalia kama kuna USB port ambayo kile ki plastic cha kati kimechomoka na nyaya zimegusana.
Mimi kuna Lenovo yangu moja ilinitokea hivyo, laptop ikawa haiwaki kabisa...
Mimi nahisi huenda niliua D+ na D- maana ukichomeka simu inachaji ila ni undetectable by pc.Hio d620 ina usb port 2 za kulia ambazo zinaweza kutoka maana ziko embedded kwenye motherboard. Sasa tafuta machine ingine d620 or d630 zinafanana hizo, toa hizo usb port weka huku ili ujue tatizo lina anzia wapi. Zikigoma tafuta mtaalamu ata loop njia huenda short imezikata electronics components zinazopeleka infor kwenye USB.
Safi sana mkuuBwana Yesu Asifiwe Sana.
Nimefanikiwa kutatua tatizo baada kureplace ic mbili zenye namba 2062 ambazo nimezipata kwenye Dell moja hivi ka kizamani.
Kazi ya hizo ic ni BD2062FJ and BD2066FJ are dual channel high side switch ICs with an over- current protection for of. Universal Serial Bus (USB)
Hivyo basi Mungu awabariki sana wale wote mliotumia muda wenu kwa kunishauri na kunielekeza.
Da ishu solved;
Sasa hivi napambana kuirudishia bolt zake ili niendelee kula mzigo.
Kukutana na changamoto ni fursa, nimeepuka kununua PC mpya au motherboard nyingine, hapo nimejifunza kitu pia.
Sent from my cupboard using mug
Poa mkuu haya mambo ni kujiongeza.Safi sana mkuu