K kunyala Member Joined Apr 11, 2013 Posts 76 Reaction score 18 May 1, 2013 #1 Swala na uaminifu ktk ndoa na mahusiano inaonekana kuwa tatizo au ni uhuru wa vyombo vya habari hivyo matukio yanaripotiwa kwa wingi tofauti na miaka ya zamani.
Swala na uaminifu ktk ndoa na mahusiano inaonekana kuwa tatizo au ni uhuru wa vyombo vya habari hivyo matukio yanaripotiwa kwa wingi tofauti na miaka ya zamani.
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,618 May 1, 2013 #2 Tangu zamani watu walikuwa wakigegedana tu; tatizo ni usaambaaji wa taarifa hizo.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,007 Reaction score 168,596 May 1, 2013 #3 @da ami
wamogori JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 888 Reaction score 339 May 1, 2013 #4 Fumanizi hutokea kunapokuwa na upungufu wa umakini katika mipango yenu ya usaliti, lkn tangu zamani mambo hayo yapo.
Fumanizi hutokea kunapokuwa na upungufu wa umakini katika mipango yenu ya usaliti, lkn tangu zamani mambo hayo yapo.
BUCHANAGANDE JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,512 Reaction score 482 May 1, 2013 #5 Yalikuwepo, Yapo, na Yataendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia.