Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Tumia vitamiin c kwa wingi, mpaka 3000ml a dayWanajamii naomba msaada wenu wife anasumbuliwa na mafua ya mara kwa mara; yakimpata anatumia dawa anapona baada ya muda mfupi (siku 7 hadi 10) yanarudia tena.
Tiba yake ni nini?
No ni wifeMafua ni dalili kuu ya mwanamke kuwa mbali na mwanaume! je wewe ni nyoka wa bandia??
akacheck allergy mkuu.....afahamu ni nini sababu ili aweze kuepuka hali hiyo.......
T Tumia vitamiin c kwa wingi, mpaka 3000ml a day
Uliponaje asee, mim mafua ni kila sikukaka mimi mwenyewe nilkuwa hvyohvyo solution ni rahc sana mwambie ajtahd kuwa msafi wa mazngira na mavaz, atumie sabun za kawaida, aache ku2mia perfumes na manukato mengne kwa kuzngatia vitu hvyo mimi tatzo langu lilipona