dawa ziko kulingana na hatua ya ugonjwa na umri wa kuku. Kama ni dalili tu hamna vifo na ni vifaranga huwa wanashauri uanzie fluban, kama kuna vifo au serious case ganadexin ni nzuri na tylosin endapo ni multiple infection. Nimezitaja nilizowahi tumia ila famasi watakuelekeza vizuri