Jamani naombeni ushauri Nina mafua makali sasa no mwaka wa 9 nimetumia dawa za hospital lakn bado dawa za mitishamba nimetumia lkn bado naangaika. Kuna MTU kama anajua utatuzi wa hili tatizo anambie
Jamani naombeni ushauri Nina mafua makali sasa no mwaka wa 9 nimetumia dawa za hospital lakn bado dawa za mitishamba nimetumia lkn bado naangaika. Kuna MTU kama anajua utatuzi wa hili tatizo anambie
Kula Asubuhi kabla ya kula kitu tafuna punje 2 za kitunguu saumu mezea kwa maji ya Uvuguvugu kisha kaa kwa muda wa saa 1 bila ya kula kitu baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula fanya hivyo wakati wamchana na usiku kila siku tumia siku 3 au siku 5 au siku 7 kisha uje hapa utupe mrejsho wako. Onyo: Kama unayo maradhi ya Presha ya kushuka usitumie hiyo dawa tafadhali.