C change we need Member Joined Aug 10, 2011 Posts 81 Reaction score 9 Feb 6, 2012 #1 Kama viongozi wetu wako serious na mafsadi wasingeuma maneno..wangetaja bayana mafsadi ni hawa na msiwapigie kura. sio kusema ooh mafsadi mara hivi mara hivi..danganya toto hiyo, hakuna nia thabiti ya kuondoa mafsadi katika serikali au chama.
Kama viongozi wetu wako serious na mafsadi wasingeuma maneno..wangetaja bayana mafsadi ni hawa na msiwapigie kura. sio kusema ooh mafsadi mara hivi mara hivi..danganya toto hiyo, hakuna nia thabiti ya kuondoa mafsadi katika serikali au chama.