Mafao ya PSPF baada ya kuunganisha mifuko

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,982
Reaction score
9,470
jaman mie nina ndugu yangu aanastaafu disemba 2018

naomba kujua kama atalipwa kwa mfumo wa zaman au ndo atalipwa kwa mfumo mpya?

maana nimeambiwa formula mpya mtu atalipwa just 38% tu ya michango yake! huku ni kurudishana nyuma
 
tumeliwa na sasa mtaelewa kwa nini tunapunguzwa idadi ......wao wanasema wanaunga juhudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…